MICHUANO YA SOKA KWA VIJANA CHINI YA MIAKA 17 YA COPA COCA-COLA
IMEANZA KUTIMUA VUMBI IKIWA NA LENGO LA KUIBUA VIJANA KWA MICHUANO YA WILAYA YA
MOROGORO. TUSHIKAMANE SEKONDARI IMEIFUNGA BILA HURUMA ST. DENIS SEKONDARI
MAGORI 2-1 KATIKA MECHI YA MPIRA WA MIGUU. MWEMBESONGWA SEKONDARI NAYO IMEANZA VYEMA MICHUANO HII KWA
KUIGARAGAZA TIMU YA SUA SEKONDARI KWA GOLI 20-1 KATIKA MECHI YA MPIRA WA PETE.
WACHEZAJI WA TIMU YA NETIBOLI YA SHULE YA SEKONDARI ALFA
WAKICHUANA NA WENZAO WA TIMU YA SEKONDARI KINGURUNYEMBE WAKATI WA MASHINDANO YA
COPA COCA COLA YA MWAKA HUU YALIYOANZA KWENYE UWANJA WA JAMHURI, MJINI MOROGORO.
No comments:
Post a Comment