Tuesday, July 17, 2012

BWENI LA WASICHANA LA SHULE YA SKONDARI MOROGORO LA WAKA MOTO!!!

Wanafunzi wakilia kwa uchungu kwa kupoteza mali zao
Bweni likitetekea kwa moto
Baadhi ya wanafunzi walimepoteza fahamu baada ya kunusurika kifo
 Gari la kikosi cha zima moto likiendele kuuzima moto 
Mkuu wa shule ya morogoro sekondari Thomas Chihwalo[aliyenyoosha mikono] akitoa maelezo ya tukio hilo kwa mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera [mwenye suti] na mbunge wa jimbo la Morogoro Aziz Abood.


















No comments:

Post a Comment