Usajili unaendelea
kwa njia ya mtandao kupitia tovuti ya Baraza la Mitihani ya: www.necta.go.tz
Kabla ya kujisajili
kwenye mtandao waombaji wanapaswa kwenda kwenye vituo vya mitihani kuchukua
namba rejea (reference number) watakazotumia kujisajili. Hakuna mtahiniwa
atakayeweza kujisajili bila kupata namba rejea kutoka katika kituo
anachokusudia kufanyia mtihani. Wakuu wote wa vituo vya watahiniwa wa
kujitegemea nchini wamekabidhiwa namba rejea hizo tayari kwa kuzigawa kwa
watahiniwa tarajali bila malipo.
LIMETOLEWA NA:
KATIBU MTENDAJI
BARAZA LA MITIHANI LA
TANZANIA
No comments:
Post a Comment