Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimpongeza mwanafunzi Peter Robert wa kidato cha tatu Shule ya Sekondari ya
kata Tushikamane ya mjini Morogoro baada kuibuka mshindi wa kwanza katika
shindano la Insha kuhusu Ujenzi wa Miundombinu Afrika
Mashariki.Mwanafunzi Peter amechukua ushindi wa kwanza kwa wanafunzi wote
wa shule za sekondari wa nchi tano za jumuiya ya Afrika Mashariki .
Peter alipokea tuzo hiyo wakati wa
Mkutano wa wa kuu wan chi za jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika katika
hoteli ya Speke’s Bay Resort,Munyonyo, Kampala Uganda juzi.Kutokana na ushindi
huo Mwanafunzi huyo amepewa tuzo ya dola za Marekani 1500, na cheti na
alikabidhiwa zawadi hizo na mwenyekiti mpya wa jumuiya ya Afrika Mashariki,
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya.
No comments:
Post a Comment