Sunday, July 15, 2012

SHULE YA SEKONDARI TUSHIKAMANE IMESHIRIKI SHINDANO LA 'INSHA' LA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI.

Shule ya Sekondari Tushikamane imeshiriki shindano la 'INSHA' la Afrika Mashariki. Mwanafunzi Ester Emmanuel wa kidato cha IV (A) amewakilisha shule kaitika shindano hilo la 'INSHA'. Shindano lilikuwa linataka Mwanafunzi aeleza kwa maneno 1500-2000 nafasi ya ELIMU katika kuimalisha Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

No comments:

Post a Comment