Wanafunzi wa kidato cha nne shule ya Sekondari Tushikamane wameanza kufanya mtihani wa kujipima (MOCK) jana tarehe 4/6/2012. Wakiongea na Blog hii Wanafunzi Elizabeth na Salma Wamesema kuwa mtihani wa 'Hesabu' ulikuwa mgumu lakini wana matumaini ya kufanya vizuri kwani walimu wao wame wa andaa vyeme. Mitihani ya kujipima (MOCK) hutolewa kwa wanafunzi wa kidato cha nne ili kuwapa fursa ya kuijipima kabla ya kuanza kufanya mtihani wa Taifa (NECTA)
Wanafunzi Salma na Elizabeth
No comments:
Post a Comment