Saturday, June 23, 2012

SHULE YA SEKONDARI TUSHIKAMANE IMEFUNGA LIKIZO FUPI YA WIKI MBILI KUANZIA TAREHE 22/06/2012 HADI TAREHE 09/07/2012

Mkuu wa shule ya Tushikamane Sekondari Ndugu Joseph Moga akihutubia skuli baraza, amewataka walimu kuendelea kushirikiana na kuwa karibu na wanafuzi, pia amewahasa wanafunzi kuwa na tabia njema. Katika kikao chake na walimu ametaarifu kuwa ripoti za wanafunzi zitakuwa tayari kuanzia tarehe 16/07/2012 hivyo kwataka wazazi kufika Tushikamane Sekondari kupata ripoti za maendeleo ya kitaaluma za wanafunzi.

No comments:

Post a Comment